Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Nimeingia juzi ila nina like 91 wakuu mabibi na mabwana naombeni like zenu ... Umoja ni ushindi.
 
nami nakubali sana mchango wako mkuu lutila, ila ilo jina lako la kwanza ni
jipu
 
Mshana jr ana likes nyingi sababu ya thread zake za mambo ya nguvu za giza, si unajua watanzania 95% wanaamini na washiriki wa nguvu za kishirikina. Kuna nchi gani ingine duniani inahusika na kuua walemavu wa ngozi"albino" kama sio only in Tanzania. hongera mshana jr.
 
Asanteni kwa likes zenu.
Ambao hamjanipa tutakutana Insta au Fb.
Ntawachunia kama siwajui
 
Mshanajr nilipenda post yake kuhusu magari kwenye technical issues, watu wengi walimfaidi kwani alikuwa anatoa ushauri mzuri kwa wamiliki wa vyombo vya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…