Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji23] [emoji23] [emoji23]cheo mzigoSuper star wa jf ,,wewe uplatnum unakufaa nunua cheo mshana
Ha haaa umepinda weweAvatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
[emoji102] [emoji102] [emoji83]Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshanaJR mara ya mwisho alikuwa mgambo wa jiji,alifaulu na kukabiziwa cheti akiwa ni mpare wakwanza asie kuwa na kithembe,mpara wa kwanza mrefu,mpare wa kwanza kuweka nazi kwenye makande,ila alifeli somo la kuukimbia ubahili..!!kama unabisha kuhusu ubahili wake naomba uniletee avatar yake ya mwisho kabla ya sasa
[emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 421977
[emoji23] [emoji23]hilo halitawezekana abadanMimi ombi langu nataka utupie screenshot zako zote za pm hapa!
Kwel nakumbka aliuliziwa sana hapaSi walisema alikufa[emoji3]
Kafufuka lini uyu mtu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] nifundishe na mm iyo technology nikifa nifufuke .Technology imepiga hatua kubwa kuna namna siku hizi kama umekufa unaweza kufufuka
Yule mama mja mzito na panya road walifufuka unapofanyia kazi?Technology imepiga hatua kubwa kuna namna siku hizi kama umekufa unaweza kufufuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule mama mja mzito na panya road walifufuka unapofanyia kazi?
Balaa hili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 421977
Wanaume wa mikoani kwa maswali yenu yasiokuwa na kichwa wala miguu mnaongoza.....[emoji1]Mimi ombi langu nataka utupie screenshot zako zote za pm hapa!
Kitumikie vyema[emoji23] [emoji23] [emoji23]cheo mzigo
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa mikoani kwa maswali yenu yasiokuwa na kichwa wala miguu mnaongoza.....[emoji1]
Ohooooo[emoji102] [emoji102] [emoji83]