Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
 
[emoji102] [emoji102] [emoji83]
 
mshanaJR mara ya mwisho alikuwa mgambo wa jiji,alifaulu na kukabiziwa cheti akiwa ni mpare wakwanza asie kuwa na kithembe,mpara wa kwanza mrefu,mpare wa kwanza kuweka nazi kwenye makande,ila alifeli somo la kuukimbia ubahili..!!kama unabisha kuhusu ubahili wake naomba uniletee avatar yake ya mwisho kabla ya sasa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1477058285262.jpg
 
Mimi ombi langu nataka utupie screenshot zako zote za pm hapa!
[emoji23] [emoji23]hilo halitawezekana abadan
Kwanza ni personal
Kisha forum hairuhusu labda iwe zinahusika na matusi wizi au utapeli nk
Nitawakwaza wengi sana
Ni afadhali nipigwe life ban kuliko kufanya hivyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12]
 
Back
Top Bottom