Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Sio kwakufaudu huko jamani my wiiHahahaha hadi wewe my wii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao ni mashost zangu maana na wao wanaliwa
Hawa ni muhimu watie muhuri wa ushuhudiaji kwakweli.Wewe si wakunitafutia mashahidi jamani
Wanamuogopa balaaEm mpumzisheni mshana wa watu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!
Naona kila mtu humu ni adui yangu sasa hivi.Hawa ni muhimu watie muhuri wa ushuhudiaji kwakweli.
Usirudi mwaya my Wii... Mi ntabaki na nani mjini humu?Naona kila mtu humu ni adui yangu sasa hivi.
Aiseeee bora nirudi kijijini tu si kwa kuchukiwa huku[emoji25]
Ngoja niende kijijini mie na baby wangu RRONDO tukajiandae kupokea twins wetuUsirudi mwaya my Wii... Mi ntabaki na nani mjini humu?
Huyu kashindikana, hadi kwenye ungo[emoji134] [emoji134]
Yeye ndio alinitema nikampata mwingine
Jamani mnataka kunitafutia ajali nilikuwa nataniana na shem wangu tuHuyu kashindikana, hadi kwenye ungo[emoji134] [emoji134]
Bora unisaidie kushangaa mwenzangu... Tena anasema alifaudu sana etiHuyu kashindikana, hadi kwenye ungo[emoji134] [emoji134]
Huyo huyo na yeye kaachwa yani ni mvurugaji balaaaKwahiyo mlitemana kwajili ya huyu atoto au kuna jingine?