Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Jamani mtanifanya nilogwe na mke wake ooohhBora unisaidie kushangaa mwenzangu... Tena anasema alifaudu sana eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mtanifanya nilogwe na mke wake ooohhBora unisaidie kushangaa mwenzangu... Tena anasema alifaudu sana eti
Acha uongo, ukampata!!!Yeye ndio alinitema nikampata mwingine
Na wewe unazunguka sana. We muulize tu....Mshana we ni mganga au siyo mganga. Akupe jibu, umueleze matatizo yako. Xmonks huwa hawana noma.Nijuze elimu yako ya kidunia na kiimani
plz
Na urogwe tu ili utulie maana khaaaaah!! Kama umefungwa mota.Jamani mtanifanya nilogwe na mke wake ooohh
Hafai kumbe huyu atoto...Huyo huyo na yeye kaachwa yani ni mvurugaji balaaa
Sasa mitafanyaje mie nina nyota ya kupendwa??Na mpaka uone mtu anakubali kufichwa basi ujue unapendwa sana[emoji1]Acha uongo, ukampata!!!
Sema alikuwa ktk list ila huwa unaangalia yupi wa kumuibua in public, wengine yanawashinda wanajiibua wenyewe.
Ngoja nikazane damu bado inachemka nipate cha kuwahadithia wajukuu zanguNa urogwe tu ili utulie maana khaaaaah!! Kama umefungwa mota.
Hafai hata kidogo huyo bibie na hata hakumaliza mwezi kwa tabia yake kwa nilivyosikia alitupiwa virago vyake usiku na alilia balaaa[emoji1] [emoji15] [emoji124]Hafai kumbe huyu atoto...
Hebu uniambukizage hiyo nyota ya kupendwa namie bwana lolsSasa mitafanyaje mie nina nyota ya kupendwa??Na mpaka uone mtu anakubali kufichwa basi ujue unapendwa sana[emoji1]
Ha ha haa ndo akome kuingilia... Wifi yangu sio mtu wa mchezo mchezoHafai hata kidogo huyo bibie na hata hakumaliza mwezi kwa tabia yake kwa nilivyosikia alitupiwa virago vyake usiku na alilia balaaa[emoji1] [emoji15] [emoji124]
Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.Hebu uniambukizage hiyo nyota ya kupendwa namie bwana lols
Ha ha haa ndo akome kuingilia... Wifi yangu sio mtu wa mchezo mchezo
Ha haaa poa my Wii kesho unambie vizuri... Namie ndo naanza kurembue apa nataka nilale.Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.
Sasa hivi kabaki kuzunguka tu hadi namuonea huruma mume wake kamkataa alitaka kudandia kwa RRONDO nae akamkataa hadi huruma[emoji25]
My wii usiku mwema ngoja kwanza nilinde ndoa......
Avatar ya mshana kama yondo sister wa kwa mobutu.ila tafadhari tu usiugeuze uso wangu kuwa matako mana me nimejikuta nasema tu.si unajua tena huku mjini kunakautafiti ka 1 kati ya 4!