Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Acha uongo, ukampata!!!
Sema alikuwa ktk list ila huwa unaangalia yupi wa kumuibua in public, wengine yanawashinda wanajiibua wenyewe.
Sasa mitafanyaje mie nina nyota ya kupendwa??Na mpaka uone mtu anakubali kufichwa basi ujue unapendwa sana[emoji1]
 
Hafai kumbe huyu atoto...
Hafai hata kidogo huyo bibie na hata hakumaliza mwezi kwa tabia yake kwa nilivyosikia alitupiwa virago vyake usiku na alilia balaaa[emoji1] [emoji15] [emoji124]
 
Hafai hata kidogo huyo bibie na hata hakumaliza mwezi kwa tabia yake kwa nilivyosikia alitupiwa virago vyake usiku na alilia balaaa[emoji1] [emoji15] [emoji124]
Ha ha haa ndo akome kuingilia... Wifi yangu sio mtu wa mchezo mchezo
 
Hebu uniambukizage hiyo nyota ya kupendwa namie bwana lols
Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.

Sasa hivi kabaki kuzunguka tu hadi namuonea huruma mume wake kamkataa alitaka kudandia kwa RRONDO nae akamkataa hadi huruma[emoji25]

My wii usiku mwema ngoja kwanza nilinde ndoa......
Ha ha haa ndo akome kuingilia... Wifi yangu sio mtu wa mchezo mchezo
 
Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.

Sasa hivi kabaki kuzunguka tu hadi namuonea huruma mume wake kamkataa alitaka kudandia kwa RRONDO nae akamkataa hadi huruma[emoji25]

My wii usiku mwema ngoja kwanza nilinde ndoa......
Ha haaa poa my Wii kesho unambie vizuri... Namie ndo naanza kurembue apa nataka nilale.

Uwe na njozi njema wifi langu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…