Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.

Sasa hivi kabaki kuzunguka tu hadi namuonea huruma mume wake kamkataa alitaka kudandia kwa RRONDO nae akamkataa hadi huruma[emoji25]

My wii usiku mwema ngoja kwanza nilinde ndoa......
Unalinda ndoa gani???
Sema ulale ukitafakari mwingine wa kumbambikiza mimba baada ya manyau nyau kugonga mwamba kwa nshomile.

Mie yangu iko intact haijawahi kuyumba, tulikuchuuza tu maana una majanga mwanamke, ila ndege wafananao huruka pamoja, yaani kama wewe ulivyo na waumezo ni hivyo hivyo, wakiguswa kidogo tu tayari.
 
Hivi naanzaje kukosa ndoa mjini hapa labda niamue tu.Najilia vyangu na mume wangu tukitafakari mapacha wetu.....[emoji8] Halafu nani yupo na nshomile?
Waume zangu wakoje?
 
Hivi naanzaje kukosa ndoa mjini hapa labda niamue tu.Najilia vyangu na mume wangu tukitafakari mapacha wetu.....[emoji8] Halafu nani yupo na nshomile?
Waume zangu wakoje?
Hahahaaaa!! Waume zako unafanana nao.
Hivi kumbe na hizo zinaitwa ndoa eeeh!! Basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…