Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Unalinda ndoa gani???Wewe mbona unayo sema wasukuma huwezi kuwaacha.
Sasa hivi kabaki kuzunguka tu hadi namuonea huruma mume wake kamkataa alitaka kudandia kwa RRONDO nae akamkataa hadi huruma[emoji25]
My wii usiku mwema ngoja kwanza nilinde ndoa......
Sema ulale ukitafakari mwingine wa kumbambikiza mimba baada ya manyau nyau kugonga mwamba kwa nshomile.
Mie yangu iko intact haijawahi kuyumba, tulikuchuuza tu maana una majanga mwanamke, ila ndege wafananao huruka pamoja, yaani kama wewe ulivyo na waumezo ni hivyo hivyo, wakiguswa kidogo tu tayari.