Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
We mzee na wewe unataka usifiwe 😅😅😅😅Na mimi nilifungulie uzi wa kunifagilia siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mzee na wewe unataka usifiwe 😅😅😅😅Na mimi nilifungulie uzi wa kunifagilia siku moja
Acha wivu wa kikinga mkuuSina tatizo na mshana ila naona kama mnamkuza sana.
Hayuko kama mnavyo msifia.
Hello, Habari
Naitwa Lascoo, leo tuna wimbo mpya Youtube ni Lyrics video unaitwa #Wenge
Tafadhali nakuomba uchukue Dakika zako tatu kuutizama, Usisahau Ku-subscribe,Ku-like na Ku-comment,
Ahsate sana🙏, Mungu awabariki.👇
sorry ni kutazama, Asante kwa kunijuza hilo.Kuutizama=kutazama
[emoji1545][emoji1752]Kuna siku niliwaza kama mleta uzi...yaan Mshaba jr yupo mbele ya muda...anajua mambo mengi sana...yaan kitaa anakijua haswa...maisha ya chini, kati juu na juu zaid kashayapitia....yaan hata commnt yako akiizoom anaweza jua ww ni mtu wa aina gan...dah saf sana..ni shule nyingine...ubarikiwe sana mkuu
Mtani kesho lunch kwako halafu jioni nikupeleke Mkuu pub tukanyweshee mioyo [emoji7]Naona michepuko mmeamua.
Cheki naye basi kama ana shosti wake mrembo tuongeze ujamaa na ushirikiano wa kijamii na kujamiianaDah leo ngoja niwe mpole takutumia selfies baadae kikuume zaidi[emoji23]
Nifagilie na mimi blazaako siku mojamoja upate heri duniani na mbinguni...Mshana Jr
1.Upeo wake wa kufahamu mambo mengi....
2.Ni moja kati ya member ambae nyuzi zake zinaishi Vizazi hata Vizazi hapa JF..
3.Sijawahi kumuona mahali akigombana au kupishana na Member mwingine hasa kwa kutumia lugha za kuudhi au Matusi..
Pongeze kwako Mtani...
Napokea kwa unyenyekevu mkubwa mtani[emoji1545][emoji1752] mgomvi wangu mkubwa hapa jukwaani ni huyu mzee anayeutamani ujana Asprin [emoji23]Mshana Jr
1.Upeo wake wa kufahamu mambo mengi....
2.Ni moja kati ya member ambae nyuzi zake zinaishi Vizazi hata Vizazi hapa JF..
3.Sijawahi kumuona mahali akigombana au kupishana na Member mwingine hasa kwa kutumia lugha za kuudhi au Matusi..
Pongeze kwako Mtani...
Makiwendo ni sistaangu. Sasa kama kakusifia ukadhani anajilengesha ujue umeula wa chuya. Na hata ukitumia yale mauchawi yako akabadili mawazo ujue mimi blazaake nipo.... Nitakubadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni.... Nyambaf wahedNapokea kwa unyenyekevu mkubwa mtani[emoji1545][emoji1752] mgomvi wangu mkubwa hapa jukwaani ni huyu mzee anayeutamani ujana Asprin [emoji23]