Mshana Jr, havumi lakini yumo

Mshana Jr, havumi lakini yumo

Huyu Mpare namkubali sana. Aliniuzia ofisi yake pale Msata kwa bei karibu na bure. Jamaa hana roho mbaya kabisa.
IMG-20220930-WA0100.jpg
 
Binafsi nikiongea mengi juu ya huyu ndugu nitaharibu tu, ukweli katika jamii yote hakuna asiye na cha muhimu na cha faida kwa wengine, hakuna asiye faa kwa lolote hata kama anaonekana namna gani, hakuna asiye na faida ya moja kwa moja.

Naami hata nje ya jf pia Mshana Jr amekuwa ni msaada kwa wengine katika mambo mengi sana.
Pamoja na kwa sote tuna chochote cha muhimu kwa wengine lakini huu brother amekua mwingi wa hayo kuzidi na kuzidi, na hayo yote ni majaliwa ndio maana si kila mtu yupo hivyo.

Brother zidi kuwa humble, na Mungu asikupungukie.
 
Back
Top Bottom