Mshana Jr, havumi lakini yumo

Mshana Jr, havumi lakini yumo

Huyu kaka kajaaliwa kujua almost mambo mengi sana. Kila jukwaa hapa JF ana mchango wake mkubwa tu.

Be blessed kaka Mshana Jr
Huku kujipendekeza ni kwa kiwango cha lami. Haya yanahusika
1. ID nyingine
2. Kuna kitu unahitaji....

Tafuta maisha. Fanya mambo ya msingi yatakayokusaidia.
 
Multpl id
Umeshtukia? Humu ndani kuna vituko sana. Yaani mtu anaweza kaa akawaza kuja baadaye kugombea ubunge wa JF basi anajianzishia uzi halafu anatumia IDs zake nyingine kama 10 hivi kuji support. Bila unafiki maisha ya Watanzania yanakuwa magumu saaaana
 
Huyu jamaa hata hili jina la id yangu nimelichukua baada ya kumfatilia sana story zake nikaja nikaikuta hii avatar yangu kaipost sehemu ikanivutia nikaidownload na kuingia rasmi kama memba wa jf [emoji3][emoji3][emoji16] Acha tumsifie kabla hajafa waswahili wanasema 'Mchawi mkemee lakini sifa yake ya kuruka na ungo mpatie'
 
[emoji23]
JamiiForums-1500678832.gif
 
Back
Top Bottom