Mshana Jr, havumi lakini yumo

Mshana Jr, havumi lakini yumo

Binafsi nikiongea mengi juu ya huyu ndugu nitaharibu tu, ukweli katika jamii yote hakuna asiye na cha muhimu na cha faida kwa wengine, hakuna asiye faa kwa lolote hata kama anaonekana namna gani, hakuna asiye na faida ya moja kwa moja.

Naami hata nje ya jf pia Mshana Jr amekuwa ni msaada kwa wengine katika mambo mengi sana.
Pamoja na kwa sote tuna chochote cha muhimu kwa wengine lakini huu brother amekua mwingi wa hayo kuzidi na kuzidi, na hayo yote ni majaliwa ndio maana si kila mtu yupo hivyo.

Brother zidi kuwa humble, na Mungu asikupungukie.
Napokea kwa unyenyekevu mkuu Pendaelli [emoji1545]
 
Una uhakika? What is technology?
Screenshots_2022-10-01-05-02-52.jpg
 
Binafsi nikiongea mengi juu ya huyu ndugu nitaharibu tu, ukweli katika jamii yote hakuna asiye na cha muhimu na cha faida kwa wengine, hakuna asiye faa kwa lolote hata kama anaonekana namna gani, hakuna asiye na faida ya moja kwa moja.

Naami hata nje ya jf pia Mshana Jr amekuwa ni msaada kwa wengine katika mambo mengi sana.
Pamoja na kwa sote tuna chochote cha muhimu kwa wengine lakini huu brother amekua mwingi wa hayo kuzidi na kuzidi, na hayo yote ni majaliwa ndio maana si kila mtu yupo hivyo.

Brother zidi kuwa humble, na Mungu asikupungukie.
Mshana Jr amefanyika kuwa baraka kwa wengi
 
Hahahahaaa[emoji23]
Heshima yako brother. Mwaka huu kama watatoa ile tuzo ya hadhi kama aliyopewa mzee Mohammed Said mwaka jana basi napendekeza iende kwako. Nadhani Mh. Max amesikia. Wale washindi wa stories of change tu wakitangazwa wakutunuku hiyo heshima. Unastahili na zaidi 🙏🏿
 
Heshima yako brother. Mwaka huu kama watatoa ile tuzo ya hadhi kama aliyopewa mzee Mohammed Said mwaka jana basi napendekeza iende kwako. Nadhani Mh. Max amesikia. Wale washindi wa stories of change tu wakitangazwa wakutunuku hiyo heshima. Unastahili na zaidi [emoji1545]
Dah kaka mkubwa thanks kwa hili.. [emoji1752][emoji1545].. Lakini hata akipata mwingine ni furaha yetu sote kwakuwa sisi tu familia moja
 
Huyu kaka kajaaliwa kujua almost mambo mengi sana. Kila jukwaa hapa JF ana mchango wake mkubwa tu.

Be blessed kaka Mshana Jr
Well said!
Huyu mwamba ana mchango mkubwa sana kwenye hii forum kuwa kama ilivyo. Kama kulivyo na nyara za taifa, basi huyu ni nyara ya JF.
Ni kwa vile binadamu hana thamani akiwepo.

Ninashauri Uongozi wa JF uone namna ya kuwaenzi officially watu wa aina hii.
 
Back
Top Bottom