Mshana Jr, havumi lakini yumo

Mshana Jr, havumi lakini yumo

Huyu kaka kajaaliwa kujua almost mambo mengi sana. Kila jukwaa hapa JF ana mchango wake mkubwa tu.

Be blessed kaka Mshana Jr

Huyu jamaa ni mmoja ila vibwengo vyake ni vingi kavifungulia id ya jina lake hilo hilo ndio maana kila jukwaa yuko[emoji2957][emoji2957]
 
Ni mtu ungetakiwa utambe kuwa una IQ kubwa ila umetulia tu. Kweli mwenye akili hajitangazi mtaani ila ni matendo tu ya kiakili.
 
Back
Top Bottom