Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Nazjaz umefunguka maana mtu kutumia muda wako kufikiri kisha ukavishughulisha vidole vyako kuandika ina maana una maanisha chonde chonde mshana jr usije mtenda bint wa watu akaja kuwa muumini mzuri wa break up songs mara am doing just fine ya Boyz 2 men kesho he wasn't man enough ya toni braxton alaa kuli hali mashairi yote ayajue once again hongera kwa kutangaza nia
 
Back
Top Bottom