Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmmmh cute b nayeye alipataga hii hali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sumbai naona uwepo wako@sumbai
Mmmmmmmmh cute b nayeye alipataga hii hali
Ujue wote wanaomtaka mshana jr ni vimiss, si waona jamaa aonekana tafu!Mmmmmmmmh cute b nayeye alipataga hii hali
Nipo mkuu.... Taratibu maisha yanaendeleaSumbai naona uwepo wako@sumbai
Huwa nafrahi kukuona ci wajua tulikopita pamoja!Nipo mkuu.... Taratibu maisha yanaendelea
I never knew about it
Tupo pamoja mkuu sema adimu saana.....Huwa nafrahi kukuona ci wajua tulikopita pamoja!
Kiasi flani, ndo hivyo tena nami nakuaga nadra kule kwani nimetingwa sanaTupo pamoja mkuu sema adimu saana.....
Kule hommie''' forum kwema?????
Hahahaha miziizi ya asili inaenda sawa sawa na''' Yesu''....Amjisalimisha kwa Yesu
Swahiba yaani hivi hivi kirahisi rahisi mtu anajikabidhisha kwako! hongera ila usimtende mtoto wa watu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] yake au yangu
kumbe wote MNA vitu black machoni[emoji3] [emoji3] [emoji3] yake au yangu
Okkky safari hii ukija "mjini' dsm uje kunisabahi mkuuKiasi flani, ndo hivyo tena nami nakuaga nadra kule kwani nimetingwa sana
Si useme tu kuwa ni Pwagu na Pwaguzi?Mmmh!
Dowezi na nyakuzi...... wanataka kuanza show!
Nipo mara nyingi tu mkuu, si wajua huku twatafta, huko ndo makazi!!Okkky safari hii ukija "mjini' dsm uje kunisabahi mkuu