Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi zamu yangu lini??Wapo tena kibao,nimeamua kufanya both
Majibu yake yaweza sababisha wengine wasilalesafi sana, ngoja tumsubiri tukiwa na bibilia pembeni asije kututandika ulozi online hukuhuku.
karibu Brother Mshana JR.
ngoja wajuvi wa maswali watatusaidia kumuhoji
Nimeshaweka swali hapo kama si mchawi kama mshana jr uwezi kuona.Atakugeuza bata mzinga watu wakule[emoji23] [emoji23]
Mbona mshana jr ameanza kujibu maswali huoni hapo juuNa wewe mchawi eee!