Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuelewe vibaya, yeye ni katibu muenezi wa waganga na wachawi lakini hajui uchawi wala hagangi. Shindwa ktk Jina la Yesu Mshana Jr.safi sana, ngoja tumsubiri tukiwa na bibilia pembeni asije kututandika ulozi online hukuhuku.
karibu Brother Mshana JR.
ngoja wajuvi wa maswali watatusaidia kumuhoji
hahahaha...Usimuelewe vibaya, yeye ni katibu muenezi wa waganga na wachawi lakini hajui uchawi wala hagangi. Shindwa ktk Jina la Yesu Mshana Jr.
Haya.Hii ni chitchat jukwaa lina radha Na vionjo vyake!
kuondoa ujinga kwenye medula ni zoezi endelevu kama vyeti feki msahili mkuu.Mkatoriki=mkatoliki,
Huko shule ulienda kusomea ujinga!
Utani[emoji23] [emoji23]
Asante kwa kuniitaShunie
Emmyta
Linamo
Carba
Sakayo
Neybright
Numbisa
Baby"kapeace"
Baby "joanah"
Tamosa
Husna muba
Muda kwenye saa ngapi? Maana huyu mtu anapatikana sana mida ya usiku wa manane![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!
Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Natabiri mademu watasoma maswali yetu afu wanaume tutauliza. Wanawake wanaogopa kupigwa jujuAsalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!
Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!