Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby una mababy wangapi siku hizi?Shunie
Emmyta
Linamo
Carba
Sakayo
Neybright
Numbisa
Baby"kapeace"
Baby "joanah"
Tamosa
Husna muba
Mkuu ukipuliza kipenga uwe unatuitaAsalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!
Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Nimefika leo, ukumbi ndio ulikuwa huu?Mwifwa
Niyombare
Avatar ya twiga....
Siku nyingine umsaidie bana, ona nimepitwa 2 days ago[emoji15]Uwe unaweka tag, hivyo ulivyoita watajuaje sasa kama umewaita
Mkubwa, habari ya siku tele? Long time Mzee wa Nsumba.Siku nyingine umsaidie bana, ona nimepitwa 2 days ago[emoji15]
Habari njema kabisa, hofu kwako.Mkubwa, habari ya siku tele? Long time Mzee wa Nsumba.
Vijiweni, jamaa haleti chakula cha msaada. Mwafwa! Mwifwa.Habari njema kabisa, hofu kwako.
Nipo kabisa vijiweni si unajua vijiwe vipo vingi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]safi sana, ngoja tumsubiri tukiwa na bibilia pembeni asije kututandika ulozi online hukuhuku.
karibu Brother Mshana JR.
ngoja wajuvi wa maswali watatusaidia kumuhoji
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We unamfahamu mwalimu gidasaidasaa ngap inaanza
Gidasaida wa A Sec?We unamfahamu mwalimu gidasaida