Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Kuanzia saa nane mshana Jr atakuwepo mubashara ktk mkabala huu

Utaratibu ni kuwa kila mtu atauliza swali lake Na kujibiwa,in short Leo mshana Jr atakuwa hosted Na all members.
 
Mkuu Mshana Mimi ningependa kujua kiundani kidogo kuhusu utaalamu wako wa "meditation".. Uliupatia wapi na unawezaje kufanya hiyo kitu bila kuchanganya na Ushirikina?
 
Mshana jnr huyu huyu? Akiyajibu haya mchana wa leo mniite[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .......pacha am missing you so much,huwa unaingia JF mara chache sana!!
Hua naingia kila Mara,sema Mara nyingi hua nasoma tu post za members kuchangia ni Mara chache sana, vp pacha habari za maisha
 
Back
Top Bottom