Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

hivi mshana ni wewe uliyekuwa unapitapita juu ya paa usikuu huu?au member wa label yako...maana sijalala kabisaa
 
Mkuu, zaidi ya JF uko kwenye mitandao ipi ya kijamii na unatumia ID zipi? Na je, profile yako ya JF hutembelewa na idadi gani ya watu kwa avarage ya siku moja?
Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..
Kwakweli sijafanya sensa kwenye hilo la profile
 
Mkuu, zaidi ya JF uko kwenye mitandao ipi ya kijamii na unatumia ID zipi? Na je, profile yako ya JF hutembelewa na idadi gani ya watu kwa avarage ya siku moja?
Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..
Kwakweli sijafanya sensa kwenye hilo la profile visitors
 
hivi mshana ni wewe uliyekuwa unapitapita juu ya paa usikuu huu?au member wa label yako...maana sijalala kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kikao mtwara labda ni members walikuwa wanapitapita kutafuta zawadi za kubeba... Juu ya paa lako kuna gulio ujue
 
Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..
Kwakweli sijafanya sensa kwenye hilo la profile visitors
Ok. Ni wazi kuwa una maandiko mengi sana humu JF tokea ujiunge, sasa je unayakusanya na kuyatunza kwa ajili ya kumbukumbu na ikiwezekana kuyaunganisha na kutengeneza kitabu au jarida?
 
Nimeshauriwa kufanya hivyo maranyingi kwakuwa kuna mengine yanapotea baada ya muda.... Kinachonitatiza ni muda
 
afu bro mshana kuna ile ishu ya kioo a.k.a tv ya asili...hivi ni kweli au figisu...kwamba mtu akikufanyia ubaya unaweza kumuona kupitia hiyo flat screen yenu ya asili?
 
Zilikuwepo na maranyingi ni kwenye karai la maji lakini baadae ikawa ni mazingaombwe na michezo ya kitapeli tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…