Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
hivi mshana ni wewe uliyekuwa unapitapita juu ya paa usikuu huu?au member wa label yako...maana sijalala kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshana ashakufanya uanze kuchapiaNifutishe kuweka tag my
Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..Mkuu, zaidi ya JF uko kwenye mitandao ipi ya kijamii na unatumia ID zipi? Na je, profile yako ya JF hutembelewa na idadi gani ya watu kwa avarage ya siku moja?
Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..Mkuu, zaidi ya JF uko kwenye mitandao ipi ya kijamii na unatumia ID zipi? Na je, profile yako ya JF hutembelewa na idadi gani ya watu kwa avarage ya siku moja?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kikao mtwara labda ni members walikuwa wanapitapita kutafuta zawadi za kubeba... Juu ya paa lako kuna gulio ujuehivi mshana ni wewe uliyekuwa unapitapita juu ya paa usikuu huu?au member wa label yako...maana sijalala kabisaa
[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]mshana ashakufanya uanze kuchapia
Ok. Ni wazi kuwa una maandiko mengi sana humu JF tokea ujiunge, sasa je unayakusanya na kuyatunza kwa ajili ya kumbukumbu na ikiwezekana kuyaunganisha na kutengeneza kitabu au jarida?Kwakweli huko kwingine siko active kivile ni almost dormant.... Na hata nyingine sikumbuki natumia ID gani..
Kwakweli sijafanya sensa kwenye hilo la profile visitors
nilikuwa natania mkuu..maana we huaminiki..unaweza pita kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kikao mtwara labda ni members walikuwa wanapitapita kutafuta zawadi za kubeba... Juu ya paa lako kuna gulio ujue
Nimeshauriwa kufanya hivyo maranyingi kwakuwa kuna mengine yanapotea baada ya muda.... Kinachonitatiza ni mudaOk. Ni wazi kuwa una maandiko mengi sana humu JF tokea ujiunge, sasa je unayakusanya na kuyatunza kwa ajili ya kumbukumbu na ikiwezekana kuyaunganisha na kutengeneza kitabu au jarida?
[emoji15] [emoji23] [emoji12] hata nisipopita mimi watapita wengine..nilikuwa natania mkuu..maana we huaminiki..unaweza pita kweli
Ulishawahi kufikiira kuanzisha blog yako kwa ajili ya kutoa elimu kama unayoitoa humu?Nimeshauriwa kufanya hivyo maranyingi kwakuwa kuna mengine yanapotea baada ya muda.... Kinachonitatiza ni muda
Mipango ni kuanzisha kituo cha utambuzi lakini ishu inakuja pale pale kwenye muda, kitu kama muti-faith research society n awakeningUlishawahi kufikiira kuanzisha blog yako kwa ajili ya kutoa elimu kama unayoitoa humu?
we jamaa..nisamehe[emoji15] [emoji23] [emoji12] hata nisipopita mimi watapita wengine..
Zilikuwepo na maranyingi ni kwenye karai la maji lakini baadae ikawa ni mazingaombwe na michezo ya kitapeli tuuafu bro mshana kuna ile ishu ya kioo a.k.a tv ya asili...hivi ni kweli au figisu...kwamba mtu akikufanyia ubaya unaweza kumuona kupitia hiyo flat screen yenu ya asili?
nasubiri jibu hapo...Ulishawahi kufikiira kuanzisha blog yako kwa ajili ya kutoa elimu kama unayoitoa humu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]we jamaa..nisamehe
saivi ziko wapiZilikuwepo na maranyingi ni kwenye karai la maji lakini baadae ikawa ni mazingaombwe na michezo ya kitapeli tuu
Kuanzisha blog ni ngumu labda nijitoe JF kwanza kitu ambacho hakiwezekaninasubiri jibu hapo...
Waliokuwa wajuzi walikuwa wachoyo wakaondoka bila kurithishasaivi ziko wapi