Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anaongea na mizimu muda huuHujambo hapo ulipo,ni matumaini yangu kwamba hujambo na unaendelea na maisha kama kaiwada
Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali hapo ulipo ,ni hayo tu mkuu .
Asante
Ameokoka sikuhizi[emoji4]Atakuwa anaongea na mizimu muda huu
Naumwa malaria na imepanda kichwaniMmmh! Kwa nini unawaza hayo?
🤣🤣🤣Ameokoka sikuhizi[emoji4]
[emoji1][emoji1]Sikukuu watu wataliwa tunda kimasihara Sana.
Jirani nakusalimiaAmeokoka sikuhizi[emoji4]
Lazima hii barua Ina mwendelezo. Hebu cutelove maliziaHujambo hapo ulipo,ni matumaini yangu kwamba hujambo na unaendelea na maisha kama kaiwada
Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali hapo ulipo ,ni hayo tu mkuu .
Asante
[emoji3]kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemiss nini mrembo?Ni salam tuu jamani,baada ya kummis