Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
 
Dah.. Jemima Mrembo [emoji173][emoji173][emoji173][emoji2] Huu unaitwa ukweli wa moyo.. Asante kwa misifa kedekede!
 
Naamini hata huko Msata imenyesha leo mkuu Mshana Jr, unaweza kuamua kuukumbuka ujana wako kwa masaa kadhaa[emoji3][emoji3]
Huku bado kumenuna haijaanza kunya
20230328_161110.jpg
 
Back
Top Bottom