Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Hii ni from experience, binamu hivi mpare, mchaga, mkinga, msukuma, mgogo, muha hua mnapata ahueni wapi
Sijawahi date na makabila tofauti na haya Mpare, muhaya na Mngoni.

Ila kwa me, wote wanatoa hela, ila naona wengine wakiwa wanalalamika kuhusu babee zao wapareee.
 
Uliwahi kufanyia nini cha maana binamu hiyo hela
 
Hivi huyu jamaa kapotelea wapi ana siku nyingi sana huonekani jamvini hata GuDume Naye kapotea kabisa
 
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Ajitokeze hadharani tumuone
 
Nasoma huu uzi huku nabubujikwa na machozi kwa wivu aisee,,

Kuna watu wana bahati sana
 
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Duuh
 
Siku nikijua kuanzsha thread we mkaka weweeeee utanitambua, popote ulipo
 
Back
Top Bottom