Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Duh hukunicheki tenaNakuja sana huko.pale chuo cha mwalimu nyerere institute.kuna issue huwa nafanya pale.nikija tena nitakushtua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hukunicheki tenaNakuja sana huko.pale chuo cha mwalimu nyerere institute.kuna issue huwa nafanya pale.nikija tena nitakushtua
Nilikutana naye ana kwa ana maeneo ya Sinza. Pia ana akili nyingi, kajaa hekima, mkarimu na mwenye utu.Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Sasa hivi sifai kwa matumizi.nitakutafuta soon usijali bro
Bro [emoji23] [emoji1545]Nilikutana naye ana kwa ana maeneo ya Sinza. Pia ana akili nyingi, kajaa hekima, mkarimu na mwenye utu.
I told these guysNilikutana naye ana kwa ana maeneo ya Sinza. Pia ana akili nyingi, kajaa hekima, mkarimu na mwenye utu.
Kwaiyo tumelogwa wote huku mkuu??Mtu anashinda kilingeni kuongoza mvuto atashindwa vp kuwa na mvuto
Wote tushawekwa kwenye kilingeKwaiyo tumelogwa wote huku mkuu??
Sema huwa haiombwi hivyoRamadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Mpaka utembee kwa magoti hadi wapi?Sema huwa haiombwi hivyo
UliyemtajaMshana Jr wa wapi huyo?