Mshana Jr umempeleka wapi Demiss (Chamdeko wetu)

Mshana Jr umempeleka wapi Demiss (Chamdeko wetu)

Haonekani siku hizi huyu mr's Mshana jr tumemmisi kwakweli.

Ni wajibu wetu kukuuliza ili tujue Ndugu Mshana Jr umempeleka wapi Demiss wetu (chamdeko)

Tumemisi uwepo wake humu jukwaani .

Kama kuna nguzo anamalizia kuhusu mambo yenu ya Sayansi ya Giza ni vyema kutuweka wazi tujue..!



images-2.jpg

Naomba kuwasilisha.....[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom