Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Anayekata majina ya wagombea ni nani hapa.
 
Nani alieleta hili wazo isije ikatokea baada ya kushindwa kuwapata kwa kutumia nguvu sasa wanatumia busara umakini unahitajika isije ikawa mbinu ya kutambuana
 
Weka link tuone mchakato wa mchujo ulivyokuwa...



Then uchaguz uwe huru Na haki ,hatuhitaj mifumo ya Ki CCM hum,
Weken mfumo wa kudhibit kujirudia kwa Kura Na mfumo uwe Ni wa kidigitali yaan unapita unabofya Kura inahesabika Na wote wanaona mchakato mzma,,,

Kaz kwako mkuu..!!
 
Naomba Mzizi Mkavu na Jichawi wawe memba wa kamati ya ufundi ya The Boss vinginevyo tutaimba "Parapanda italia parapanda..." muda si mrefu ujao kwa sababu Mshana Jr. siyo mtu wa mchezo mchezo...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......
Wewe unataka kufanywa kafara ya msukule usawa huu naona[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Angalizo:-
Maxence Melo ichukulie hii kitu kwa tahadhari kubwa!!! Hawakawii kusema "Rais wa jamiiforums ampongeza Jecha/Lubuva kwa kusimamia uchaguzi wa haki"

Au Rais wa JF aipongeza serikali kwa kutokupeleka misaada bukoba kwa wathirika wa tetemeko.

Hatua ya awali ya kuichukua ni kupeleka hii kitu chit chat.
Nimejilipua!!! Potelea mbali mshana jr akiwasiliana na masela wake wa kisiju.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…