Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana Jr uniteuw kuwa wazir mkuu
Usipo Fanya hivo naenda kukurogea msata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mshana kamat ya ufund niachie mimi yabuuu, mambo yatakaa sawa ushnd saa4 asbui
 
Mshana jr na mada zake za kichawi ameweza kujizolea umaarufu humu jf

Wana jf nyie mnavutiwa sana na mambo hayo inavyoonekana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yoyote akataye shinda urais poa TU maana wote hao ni wananguu

Ova
 
Rais ni Maxemce Melo aliyelala lupango na kuteswa sana ili kuwafichia IDs zenu. Acheni mizaha.
 
Rais mteule atakuwa anaenda kuongoza serikali ya awamu ya ngapi?

Ataongoza kwa katiba ipi?

Vigezo vya kuwa rais ni vp?

Huu uzi umekaa kimabavu sana.

Mwingine akalale jela, urais mjitangazie nyinyi mkiwa kitandani na wapenzi wenu.

Mzee Ben hawa hapa wale wakubwa kabisa uliosema tuwaite.
 
....Do not take JF that serious!
 
Huo uchaguzi ni batili na natangaza kuuairisha maramoja hadi mtakapotangaziwa tena kwa sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu na mbinu chafu zilizosababisha baadhi ya wagombea kujitoa kwenye kinyang'anyiro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…