Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
yale yele ya chama changu tuu, kila mjumbe na Mgombea wake yaani kada na waziri mkuu, huku Mwenyekiti mstaafu na raisi. chama changu kimemezesha watu wengi sumu kali 🙄🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari ishaletwa chit chat.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Halafu nakusakaHaya mambo yalikuwa na nguvu kipindi kile...
Mtifuano ulikuwa sio wakitoto...
[HASHTAG]#RESTINPEACEDENAAMSI[/HASHTAG]
Utafkiri unagombea urais wa nchi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee kuya kigoma huku urais utaupata bila jashoMshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......
Lini sketi ishindane na suruali saiz yenu skin tight tuDaaa ina maana hamna ke mgombea,,,,, why? [emoji26] [emoji26]
Hahahaha kwa kuwa kiranga hajapita..?!!Mchakato mzima urudiwe huu
Mbona siku hizi unacomment kwa umakini sana mkuu?.......Umakini huu wa kucomment hapa JF una uhusiano wowote na Kasinde??[emoji30]Moderators wamebariki hii kitu au?
Mbona siku hizi unacomment kwa umakini sana mkuu?.......Umakini huu wa kucomment hapa JF una uhusiano wowote na Kasinde??[emoji30]
Kabisa... Huu mchujo ni batili asee[emoji51]Hahahaha kwa kuwa kiranga hajapita..?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Nani msimamizi wa uchaguzi.
Naona mshana jr. anajaza watu kwenye mikutano yake ya kampeni.
Hongera kwa mameneja wa kampeni pande zote mbili maana sijaona kampeni za kuchafuana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Tayari ishaletwa chit chat.
Ukishinda uchaguzi itakupunguzia mizengwe!!
Hakawii mwenezi wa chama cha TOM kukutaka usifie magurudumu ya helikopta yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mchakato mzima urudiwe huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Lini sketi ishindane na suruali saiz yenu skin tight tu
Cha Rchunga je?[emoji85]Nani anatumia gambe kati Yao nimpe kura Yangu