Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Baada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums
Kwa hiyo mimi nimekatwa!!!.
 
Hawa wagombea wapo radhi kuwa chini Ya the king of all social media (networks) Le habari kubwaz
 
Weka link tuone mchakato wa mchujo ulivyokuwa...



Then uchaguz uwe huru Na haki ,hatuhitaj mifumo ya Ki CCM hum,
Weken mfumo wa kudhibit kujirudia kwa Kura Na mfumo uwe Ni wa kidigitali yaan unapita unabofya Kura inahesabika Na wote wanaona mchakato mzma,,,

Kaz kwako mkuu..!!
digital warusi wataidukua
 
huku hakuna kiungo mkata umeme[emoji23][emoji23][emoji23] watu wakikatwa huwa wanakwenda upande wa pili
 
Mshana mmempendelea mmemuweka na mtu mdogo sana mngemuweka na me Faiza foxy au Miss Natafuta by the way Mshana kura yangu unayo na ntakusaidia kupiga campain hasa kule MMU na HHM pia MMM (Matangazo Madogo Madogo)
 
[HASHTAG]#The[/HASHTAG] boss Yuko wapi? Mbona Kama hayuko serious Na uchaguzi!!!
 
Back
Top Bottom