Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

yale yele ya chama changu tuu, kila mjumbe na Mgombea wake yaani kada na waziri mkuu, huku Mwenyekiti mstaafu na raisi. chama changu kimemezesha watu wengi sumu kali 🙄🙄🙄
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Tayari ishaletwa chit chat.

Ukishinda uchaguzi itakupunguzia mizengwe!!

Hakawii mwenezi wa chama cha TOM kukutaka usifie magurudumu ya helikopta yao.
 
Mshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......
Aiseee kuya kigoma huku urais utaupata bila jasho
 
Mbona siku hizi unacomment kwa umakini sana mkuu?.......Umakini huu wa kucomment hapa JF una uhusiano wowote na Kasinde??[emoji30]

Hapana... Sikui zote nipo makini na masihara ninayo pia... Jinsi navyo comment hakujabadilika... ingawa na "Kasinde" nae anasoma kila nacho comment...
 
Hapa naona wachawi wamekuwa na nguvu sana maana sio kuunga hoja huku
 
Nani msimamizi wa uchaguzi.
Naona mshana jr. anajaza watu kwenye mikutano yake ya kampeni.

Hongera kwa mameneja wa kampeni pande zote mbili maana sijaona kampeni za kuchafuana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Tayari ishaletwa chit chat.

Ukishinda uchaguzi itakupunguzia mizengwe!!

Hakawii mwenezi wa chama cha TOM kukutaka usifie magurudumu ya helikopta yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…