Mshana Jr...without sunglasses

Nikija Huko daslam na pwani kiujumla nategemea nitakutana na hiyo
sura ya pombe
roho ya ulozi
Fani ya uganga
Sasa sijui tutakutana
kilingeni
Au
Bar!
Utanipa location mkuu Mshana Jr!
😁😁😁😁
 
Nikija Huko daslam na pwani kiujumla nategemea nitakutana na hiyo
sura ya pombe
roho ya ulozi
Fani ya uganga
Sasa sijui tutakutana
kilingeni
Au
Bar!
Utanipa location mkuu Mshana Jr!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
sura ya pombe
roho ya ulozi
Fani ya uganga
Sasa sijui tutakutana[emoji23]
 
sura ya pombe
roho ya ulozi
Fani ya uganga
Sasa sijui tutakutana[emoji23]
Taja location mkuu Bora tukutane bar
Maana nikikutana na wewe kilingeni Kuna mambo mawili
1.Uniloge
2.unigeuze msukule

Bora uniloge tu,
Ukinigeuza msukule Kuna mambo mawili!
1.Unilimishe kwenye mashamba Ya nanasi pale msata.
2.Uniuze Kwa Wapemba

Bora unilimishe tu,ukiniuza Kwa Wapemba Kuna mambo mawili
1.kuengua Nazi
2...................(yakheeeeee)
Mambo ya Mombasa!

Bora kuengua Nazi

Hiyo naomba 2
Ndukiiiiiiiiiiiiiiii!
😂😂😂😂😂
 
Bora unilimishe tu,ukiniuza Kwa Wapemba Kuna mambo mawili
1.kuengua Nazi
2...................(yakheeeeee)
Mambo ya Mombasa!

Bora kuengua Nazi

Hiyo naomba 2
Ndukiiiiiiiiiiiiiiii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…