Sura zilizotengenezwa na makande huwa hazijifichi.....View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Tulikutana kwenye JF Awards na bahati iliyo njema haujanifehemu na sura yangu ndo hiyo kwenye avatar[emoji1787].View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Tena Max akajitahidi kukupa codes lakini haukuambulia kitu.Loh.. Muone...[emoji23] ntakujua tuu.. Ulikaa meza karibu na washindi
Hahahaha hiyo meza tena kilaji kilikuwa kinatembea balaaa[emoji3]Tena Max akajitahidi kukupa codes lakini haukuambulia kitu.
Mkuu nilikaa meza zinazoashiria wepesi wa kupanga foleni ya buffet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi mi siku zoooooooote nikawa najua[kudhani najua] kuwa katika avatar ulitumiaga picha ya Prof. Jay. Heeeeh!!!.View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
hata mimi nilijua hivyoBasi mi siku zoooooooote nikawa najua[kudhani najua] kuwa katika avatar ulitumiaga picha ya Prof. Jay. Heeeeh!!!
kama sio hivyo Magu na ushari wake angekutafuta aisee
Sura zilizotengenezwa na makande huwa hazijifichi....![emoji23]Sura zilizotengenezwa na makande huwa hazijifichi....
Ukavina nendho uneingwa ni??? Kantu kadori (Haka kawimbo alinifundisha mchepuko wangu wa Ugweno pale)
Nabiria NAKWEDE naye aweke yake nikamalizie tambiko December
Sema pole pole, Anasakwa nyani ajifananishae na watu.Jifiche.Ingekuwa ID mpya ingekuwa
'Humu siyo fb'
'Waambie mods wakuondolee picha unajichoresha'
'Acha utoto humu ni GT only'
'Hayo mambo peleka insta'
'Shushushu kazini'
'Umetumwa?'
Mkuu umeamua ku-break the internet
HahahhaAcha wivu basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe weka kama unaweza utuvutie
Asante mzee kijana..View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Macho Yako mazuri kaka..View attachment 1101318