Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Aaahahahahhahaaaa looh yaani wewe mwanaume khaa...!!

Kumbe unapenda kuvaliwa upande wa khanga eeehh.... Basi hakuna Matata, jiandae tuu kuhesabu Singida Dodoma mkoa wa Tabora, Singida Dodoma mkoa wa Tabora....

Hivi ushajiuliza kwa nini ilikuwa inaimbwa hiyo mikoa mitatu?
1567515882119.png
 
Babuu bibi anatambua lakini, kwamba umeshusha mzigo wake hapa jamvini?

Hehehehheeee bibi Mashalaah, Chaga line eheheheheheee simoooooo.

Khanga za India ndo mpango mzima... za urafiki hazipitishi hewa....
1567516221114.png
 
Only few posses the courage you have. Been reading your posts for a while, feels like i've met you in person seing your photo today. There's a lot we learn from you. Keep us informed tirelessly.
 
Yeeeuwiii hadi nimetamka jina la Mungu wangu buree. Dhambi hii i juu yako Babu.

Wacha nimuite bibi Sky aiwahi simu yako naona kuna mjukuu wenu amekudukua si buree.

Usisingizie my dear bottle, malabuku zako takatifu weeh.

Funika kikombe watoto walale wasijekuota masapta sapta.
 
Only few posses the courage you have. Been reading your posts for a while, feels like i've met you in person seing you photo today. There's a lot we learn from you. Keep us informed tirelessly.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji123][emoji109][emoji123][emoji115][emoji120]
 
Yeeeuwiii hadi nimetamka jina la Mungu wangu buree. Dhambi hii i juu yako Babu.

Wacha nimuite bibi Sky aiwahi simu yako naona kuna mjukuu wenu amekudukua si buree.

Usisingizie my dear bottle, malabuku zako takatifu weeh.

Funika kikombe watoto walale wasijekuota masapta sapta.
Kama nimekuona ulivyokuwa unang'ang'ana kuifanya icheze...

Dhambi imekutawala sana aseee...
1567520802220.png
 
Back
Top Bottom