charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Haswaaa,waswahili wanakwambia KAA KANDO[emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Aaahahahahhahaaaa looh yaani wewe mwanaume khaa...!!
Kumbe unapenda kuvaliwa upande wa khanga eeehh.... Basi hakuna Matata, jiandae tuu kuhesabu Singida Dodoma mkoa wa Tabora, Singida Dodoma mkoa wa Tabora....
Hivi ushajiuliza kwa nini ilikuwa inaimbwa hiyo mikoa mitatu?
Haswaaa,waswahili wanakwambia KAA KANDO[emoji13]
Babuu bibi anatambua lakini, kwamba umeshusha mzigo wake hapa jamvini?
Hehehehheeee bibi Mashalaah, Chaga line eheheheheheee simoooooo.
Khanga za India ndo mpango mzima... za urafiki hazipitishi hewa....
Hivi baabuu, kwa nini lakini? Aahahahahahahaaaaa
Novena imeisha?
Wacha nikushushie mavurugu sasa... Eeheheheheheee.
Mhu yangu macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mpaka utanikomaShkamoo Babu Kingo....
Mbusi vuruga, kuku chakata.....
Bi. Mkora Kasie.
Leo mpaka utanikoma
View attachment 1196776
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Leo mpaka utanikoma
View attachment 1196776
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji123][emoji109][emoji123][emoji115][emoji120]Only few posses the courage you have. Been reading your posts for a while, feels like i've met you in person seing you photo today. There's a lot we learn from you. Keep us informed tirelessly.
Kama nimekuona ulivyokuwa unang'ang'ana kuifanya icheze...Yeeeuwiii hadi nimetamka jina la Mungu wangu buree. Dhambi hii i juu yako Babu.
Wacha nimuite bibi Sky aiwahi simu yako naona kuna mjukuu wenu amekudukua si buree.
Usisingizie my dear bottle, malabuku zako takatifu weeh.
Funika kikombe watoto walale wasijekuota masapta sapta.