Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Ndio mimi

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji119]mimi sio usalama lakini pia siku hizi watu wanavaa vinyago laini mno mtu kuweza kugundua kuwa hiyo sio sura halisi
Mimi nafanya kazi ya kuhudumia maiti... Ila lwasasa nimestaafu na kuamua kuwekeza kwenye elimu ya giza na nina kilinge Msata
Hapo Msata umeanzisha Chuo cha Elimu ya giza au ni Kilinge tu. Nataka nijiunge na chuo - nipe Link broo.
 
Jamaa anajaribu kutuhamasisha tuweke uhalisia wetu na hili si baya ingawaje linaweza leta sintofahamu pale unaposhtukia kumbe boss wako au mkeo nae memba humu na mmeshavimbiana mara kibao miksa kupeana kaul za hovyohovyo
 
Back
Top Bottom