Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #681
Ongeza ibaada na tumikia jamii kwa ujuzi wako na mali zako kama sadaka.Asante mzee kijana.
Makunyanzi chini ya macho na kwenye shavu kando ya pua ni ishara kwamba jua lilishatoka mashariki kuvuka utosini na sasa linatizamika pande za magharibi.
Ushauri,
Ongeza ibaada na tumikia jamii kwa ujuzi wako na mali zako kama sadaka.
Epuka kula wanga mwingi, sukari na minyana nyekundu.
Wosia,
Usihofu katika maisha. Jua lile linalozama magharibi jioni ndilo linaloibukia mashariki siku ya pili yake. Lakini laweza ibuka siku ya mawingu na ukungu lisionekane kabisa au siku ya uangavu na lika--shine katika mbawa zaka.
Epuka kula wanga mwingi, sukari na minyana nyekundu.[emoji419][emoji375][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app