Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana ! Hali Kenya sio shwari kabisa...Leo hii spika amefika ndani ya jengo la bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria
Kule hakuna posho kama kwetu wabunge wanaisimamia na kuikosoa serekali,hakuna kupita bilakupingwa hakuna viti vya wabunge wasio na majimbo,Kenya bungelao kazi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…