Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku yanakuja ila sio kwa bunge hili la vibungoSiasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana ! Hali Kenya sio shwari kabisa...Leo hii spika amefika ndani ya jengo la bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria
Kule hakuna posho kama kwetu wabunge wanaisimamia na kuikosoa serekali,hakuna kupita bilakupingwa hakuna viti vya wabunge wasio na majimbo,Kenya bungelao kazi kazi.Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana ! Hali Kenya sio shwari kabisa...Leo hii spika amefika ndani ya jengo la bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria
Wewe ndio utayaleta?
Kwahiyo posh inawanyima uhuru wa kuchangia?Kule hakuna posho kama kwetu wabunge wanaisimamia na kuikosoa serekali.
Fatilia ujue sababu nini, hapa kwetu hakuna bunge tuna mikutano ya wana ccm wanakutana kupanga na kujadili maendeleo ya chama chao.Kwahiyo posh inawanyima uhuru wa kuchangia?
Mwachiluwi naomba nisikujibu tafadhali[emoji1545]Wewe ndio utayaleta?
Badilika wewe usije kufa kama mbun'goWewe ndio utayaleta?
100%Fatilia ujue sababu nini, hapa kwetu hakuna bunge tuna mikutano ya wana ccm wanakutana kupanga na kujadili maendeleo ya chama chao.
Anza weweBadilika wewe usije kufa kama mbun'go
Sawa
MAZUZU!Hata huku yanakuja ila sio kwa bunge hili la vibungo