Mshangao: Raila Kisumu Kwa Maandalizi Ya Kumpokea Rais Uhuru

Tahira wewe eti kawaunganisha wakenya wanajitambua mbuzi wewe Kenyatta n Raila hawana ushamba wa madaraka
 
Kweli mkuu chadema ndo waliingia mikataba mibovu na mabeberu mpaka yanaiba dhahabu zetu.....chadema ndo wanavunja mikataba hovyo mpaka tunashitakiwa nje...yaani michadema ituache na nchi yetu tuzidi kutafuta mapato manono..tukiminya tukachukua pensheni za wastaafu huku watumishi wa umma hakuna cha kuwapa increment wala nini lazima nchi isonge mbereeee
 
Ndio huyo babu Owino alikua amedandia gari la rais huko kisumu

 
Weka kapicha tuwe wapenzi watazamaji.










Alizuru nyumbani kwa Raila Asubuhi kunywa chai




Nduguye Raila Oburu Odinga








Kabla kuenda Kisumu, Raila and Uhuru walihudhuria Mashujaa Day pamoja Nairobi tarehe 12 Dec, Kwa hio picha unamuona Jaji Mkuu David Maraga, Governor wa Nairobi Mike Sonko, Raila na Kalonzo Musyoka wote kwa line moja

 
Ndio huyo babu Owino alikua amedandia gari la rais huko kisumu

Hahahaha ila siasa hizi..... Babu alipigana hadi na Jaguar kisa bifu la Rao na Kenyatta ambao leo hii wamepatana sasa sijui Babu na Jaguar wanajiskiaje... Nafkiri wamejifunza kuacha siasa za chuki sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…