swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Tahira wewe eti kawaunganisha wakenya wanajitambua mbuzi wewe Kenyatta n Raila hawana ushamba wa madarakaMagufuli kafanikiwa sana kuwaunganisha hawa jamaa..uzuri upinzani wa kenya hutawasikia wakitukana serikali wala viongozi wake..wala kubeza au kutaka kukwamisha maendeleo mfano kushawishi nchi wahisani au wadeni kuzuia mali za nchi nje..hawa watu hutofautiana kipindi cha uchaguzi na upinzani siasa zao ni za msimu sio kila siku..kwa hiyo ni rahisi sana kuwa pamoja..anachofanya magufuli ni kuleta mfumo wa siasa za kenya huku kwetu..kuwe na mipaka ya kufanya siasa na kuongea siasa..kitu ambacho upinzani wa huku hawataki..ila watafundishwa kwa shuruti.