Ukiingia sekondari inabidi ubadilishe mtazamo, kaza msuli soma kama hautasoma tena! Wanataniwa watu wengi mno.Umesoma primary ukafanya kitu ukawa unataniwa , ila unajip moyo nikienda sec haya yataisha mara sec ni watu wale wale eneo ndio tofauti, unaendelea kutaniwa au kuonewa.
tofauti majengo tu ila mizimu ileile..🤣Umesoma primary ukafanya kitu ukawa unataniwa , ila unajip moyo nikienda sec haya yataisha mara sec ni watu wale wale eneo ndio tofauti, unaendelea kutaniwa au kuonewa.
Sisi wengine hatuna nguvu ya kupigana mkuu.😔Ukiingia sekondari inabidi ubadilishe mtazamo, kaza msuli soma kama hautasoma tena! Wanataniwa watu wengi mno.
Ukizidiwa piga ngumi ya shingo atakayenyenyua mdomo kukutania.
Full kukuandama.tofauti majengo tu ila mizimu ileile..🤣
hii ni common sana kwa miaka hii, kama miaka 5+ hivi trend ni hii wakienda mbali sana ni shule mbili au tatu. na kama kuna vipanga wachache kwenye hilo darasa wao wataenda zile specialLeo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.
Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja.
Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection zilivyofanyika au wote walichagua io shule.
Unavizia unampatia kwenzi ya kichwa! Ukitoka hapo unakimbilia kwa mwalimu mkali kush'taki, huko unaanza kulia kama dakika mbili kisha unatiririka kuhusu kutaniwa. Unamwambia mwalimu kwamba umepata "Anguko la kihisia"Sisi wengine hatuna nguvu ya kupigana mkuu.😔
Wamechaguliwa watoto wachache walioonyesha kitu cha ziada katika ufaulu wao! Kwa wale ambao wana uwezo wa akili wa kawaida nao wamepewa nafasi ya kukaa pamoja mpaka pale watakapoanza kujishtukia na kupiga msuli.Tunaua vipaji vingi kwa kuwanyima vijana wetu fursa yakwenda kuishi maeneo mengine na jamii zingine.
Nafikiri 40% ya wahitimu wa msingi wanatakiwa wakasome shule.za bweni mikoa mingine.
Hii ingetusaidia sana kama taifa.
Hii mbinu nzuri ila watanivizia tukitoka shule njianiUnavizia unampatia kwenzi ya kichwa! Ukitoka hapo unakimbilia kwa mwalimu mkali kush'taki, huko unaanza kulia kama dakika mbili kisha unatiririka kuhusu kutaniwa. Unamwambia mwalimu kwamba umepata "Anguko la kihisia"
Hapo unaanza kumsaidia kubeba begi Madam yoyote mpole hadi barabarani. Wakati upo kwenye huo mchakato unatafuta rafiki mgomvi mmoja wa kukulinda.Hii mbinu nzuri ila watanivizia tukitoka shule njiani
Naunga mkono hoja 🤣 😀😃😃Hio ndio nzuri sasa,. Watu mnaenjoy na marafiki walewale hakuna kushangaa shangaa😻
Ndiyo lengo la shule za KataLeo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza.
Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja.
Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection zilivyofanyika au wote walichagua io shule.
Wanaanza kuzikataa shule zao za kata.Ndiyo lengo la shule za Kata
Ina maana hao vijana hawatakuwa na maarifa mapya ya kijamii maana wanafahamiana tangu utotoni. Uwezo wa kuchangamana na tamaduni zingine kwao utakuwa mdogo sana.Wamechaguliwa watoto wachache walioonyesha kitu cha ziada katika ufaulu wao! Kwa wale ambao wana uwezo wa akili wa kawaida nao wamepewa nafasi ya kukaa pamoja mpaka pale watakapoanza kujishtukia na kupiga msuli.
Utaskia aisha kikojoziUmesoma primary ukafanya kitu ukawa unataniwa , ila unajip moyo nikienda sec haya yataisha mara sec ni watu wale wale eneo ndio tofauti, unaendelea kutaniwa au kuonewa.