Mshangazi wa 1997 ananisumbua anataka nimuoe

Mshangazi wa 1997 ananisumbua anataka nimuoe

Mishangazi inaanza 1985-1999 miaka 39-25 yaani robo Karne.

Wale wa 1980-1984 ni mashangazi wakuu
1975-1979 ni mashgazi wakuu waandamizi
1970-1974 ni mashgazi waandamizi viongozi
Kabla ya 1970 ni vichawi mwanga

Mwanamke mwenye robo Karne na hajaolewa Hilo ni kishangazi
 
Sijakuelewa. Na wewe ni mtoto kiasi cha kuona aliezaliwa 97 ni mshangazi? Yaani ukikutana na 27yo lady unaona mshamgazi?
Hapana nilicomment kuhusu hiyo issue ya jf kuwa na watoto. Kwangu mimi ni kawaida maana watoto wa 2000 kwa sasa ndio hawa vijana wapya makazini au wapo chuo last year, so kuwepo jf ni kawaida

Kwangu mimi 27 years bado ni mdogo kwangu kiasi✊🏽
 
Mishangazi inaanza 1985-1999 miaka 39-25 yaani robo Karne.

Wale wa 1980-1984 ni mashangazi wakuu
1975-1979 ni mashgazi wakuu waandamizi
1970-1974 ni mashgazi waandamizi viongozi
Kabla ya 1970 ni vichawi mwanga

Mwanamke mwenye robo Karne na hajaolewa Hilo ni kishangazi
😂😂😂😂😂 Eti waandamizi.!!
Kuna watu mna ufala mwingi
 
Back
Top Bottom