Mshangazi wa 1997 ananisumbua anataka nimuoe

Kweli biblia haiwezi kudanganya hata kidogo, lile andiko la wanawake 10 watamzingira mwanaume mmoja na kumwambia tuoe utufichie aibu zetu kama linatimia hivi.

Kuna mshangazi mmoja naona ameona jioooni imeanza kuingia, basi anachofanya ni kulazimisha tu ndoa, just imagine ni rafiki yangu sio mpenzi na wala sijawahi kumtongoza, lakini akiniona kimekaa na chipukizi wa 2005/2006 basi anakasirika na kuona wivu, sasa kwenye ujana wake amekula na wengine huko alafu sasa hivi ndio anaonyesha kunihitaji? Najua hanipendi kihivyo, anataka tu nimuoe basi kwa sababu hitaji lake ni mume, hali hiii ya wadada kutokuolewa imetokana na wanaharakati wa wanawake wanaolazimisha 50/50, wamekengeuka na misingi ya dunia pamoja na nature kwamba mwanamke lazima awe chini tu,
Huyu mshangazi baada ya kumwambia kwa sasa sipo tayari amenuna na ameacha kunitafuta.

Mashangazi wa kuanzia 1990-2000 mtulie kwanza sasa hivi kuna batch ya 2005, umri wangu unatosha kusubiri batch ya waliozaliwa 2015 wakifika miaka 18 2033 ndio nioe.

Sabato njema
dah yaani dogo mwenzako unamwita shangazi
 
Kwa sasa 27 kwa ke ni shangazi.
Unakuta ke Lina mwili mkubwa Kama nyati sababu ya kula kula machips na makuku mixer na ma bia ya offer bar. Kwa nini lisiitwe shangazi
 
Kweli biblia haiwezi kudanganya hata kidogo, lile andiko la wanawake 10 watamzingira mwanaume mmoja na kumwambia tuoe utufichie aibu zetu kama linatimia hivi.

Kuna mshangazi mmoja naona ameona jioooni imeanza kuingia, basi anachofanya ni kulazimisha tu ndoa, just imagine ni rafiki yangu sio mpenzi na wala sijawahi kumtongoza, lakini akiniona kimekaa na chipukizi wa 2005/2006 basi anakasirika na kuona wivu, sasa kwenye ujana wake amekula na wengine huko alafu sasa hivi ndio anaonyesha kunihitaji? Najua hanipendi kihivyo, anataka tu nimuoe basi kwa sababu hitaji lake ni mume, hali hiii ya wadada kutokuolewa imetokana na wanaharakati wa wanawake wanaolazimisha 50/50, wamekengeuka na misingi ya dunia pamoja na nature kwamba mwanamke lazima awe chini tu,
Huyu mshangazi baada ya kumwambia kwa sasa sipo tayari amenuna na ameacha kunitafuta.

Mashangazi wa kuanzia 1990-2000 mtulie kwanza sasa hivi kuna batch ya 2005, umri wangu unatosha kusubiri batch ya waliozaliwa 2015 wakifika miaka 18 2033 ndio nioe.

Sabato njema
Una Umri Gani Mkuu!
🤣🤣
Kama Kwako Mshangazi ni wa 1997..
Bado una safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom