sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling session, whenever things are down, we sit and talk it helped to unload the mental burden.
Yote ni sababu ya wanandoa kutotaka kuzungumza tofauti na issue walizonazo ndani, wanaona kununiana ndiyo suluhisho, kama mtu haja cheat, makosa mengine yote yanazungumzika, kuweka kiporo cha ugonvi kwa wiki, mwezi n.k, ni hatari kwa ustawi wa wanandani na hupelekea watu kutafuta altenative of where to settle their feelings.
Sasa talking therapy naona inataka ku turn into romantic therapy, labda kwa alivyojudge na tunavyoongea anahisi kuwa am a good guy na naweza kumpa comfort, while in reality I have flaws just as other human beings, I also do have issues in my relationship just as they do though not to their level, no human being is flawless and so the relationship they have.
So nimeona ili niwe upande sahihi wa historia ya ndoa yao, ni mimi kuacha kumpa comfort, au nitakuwa nakosea?