Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling session, whenever things are down, we sit and talk it helped to unload the mental burden.

Yote ni sababu ya wanandoa kutotaka kuzungumza tofauti na issue walizonazo ndani, wanaona kununiana ndiyo suluhisho, kama mtu haja cheat, makosa mengine yote yanazungumzika, kuweka kiporo cha ugonvi kwa wiki, mwezi n.k, ni hatari kwa ustawi wa wanandani na hupelekea watu kutafuta altenative of where to settle their feelings.

Sasa talking therapy naona inataka ku turn into romantic therapy, labda kwa alivyojudge na tunavyoongea anahisi kuwa am a good guy na naweza kumpa comfort, while in reality I have flaws just as other human beings, I also do have issues in my relationship just as they do though not to their level, no human being is flawless and so the relationship they have.

So nimeona ili niwe upande sahihi wa historia ya ndoa yao, ni mimi kuacha kumpa comfort, au nitakuwa nakosea?
Jiandae, kwa ndoa yako pia kuvunjika, stuka.
 
Jaman jaman!!ndoa za siku hizi ni "silent killer" kabsa...watu wanachakatana kupta maelezo hasa huko makazini/maofisini!
 
Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling session, whenever things are down, we sit and talk it helped to unload the mental burden.

Yote ni sababu ya wanandoa kutotaka kuzungumza tofauti na issue walizonazo ndani, wanaona kununiana ndiyo suluhisho, kama mtu haja cheat, makosa mengine yote yanazungumzika, kuweka kiporo cha ugonvi kwa wiki, mwezi n.k, ni hatari kwa ustawi wa wanandani na hupelekea watu kutafuta altenative of where to settle their feelings.

Sasa talking therapy naona inataka ku turn into romantic therapy, labda kwa alivyojudge na tunavyoongea anahisi kuwa am a good guy na naweza kumpa comfort, while in reality I have flaws just as other human beings, I also do have issues in my relationship just as they do though not to their level, no human being is flawless and so the relationship they have.

So nimeona ili niwe upande sahihi wa historia ya ndoa yao, ni mimi kuacha kumpa comfort, au nitakuwa nakosea?
Piga mashine kwanza
 
Umeanza vizuri hicho kingereza sijui kimetokea wapi ! ukiamua kuja na kiswahili jaman iwe mwanzo mwisho na hata ukamua kuandika hicho kingereza iwe mwanzo mwisho tusio elewa tuwe tuna shuka kwenye nyuzi za aina zetu .
 
Ayo mambo ya ushauri wa mahusiano sitaki kabisa kusikia niliwai kuliwa kimasihara na shemeji toka apo nimejifunza kama kuna tatizo tuongee pande zote
wengi imewakuta hii ila mara nyingi nakumbukaga mamneno ya mtu fulani alinambia ke tunarndeshwa sana na hisia kuliko akili,hivyo inapokuja kwenye mambo kama haya hisia zinapanda zaidi na majuto yanakujaga baada ya tukio...
 
Back
Top Bottom