Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Ndio mmefikia huku?[emoji1787][emoji1787] Kwan kila m2 akibaki na team yake shida iko wapi? Mpk mnapeana majina ya mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kumforce binadamu amkubali msanii fulan never... Na kila m2 anamsanii anaemkubali kikubwa kuelewana tu ukiona m2 amekomenti ki team achananaye
Me nawakubali wasanii wote
Mbona kuna comments zangu kibao diamond nimemtaja ?
Sema watu wanataka usiwe negative kabisa kwa msanii wao.
Sometime negative zingine zina faida kwa wasanii mwenyewe kurekebisha mistake zao
 
Ndio mmefikia huku?[emoji1787][emoji1787] Kwan kila m2 akibaki na team yake shida iko wapi? Mpk mnapeana majina ya mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kumforce binadamu amkubali msanii fulan never... Na kila m2 anamsanii anaemkubali kikubwa kuelewana tu ukiona m2 amekomenti ki team achananaye
Kumbuka pia alianza kutoa povu mwenyewe na siku zote huwa na fight back
 
Aisee apunguze sasa haiwezekani kila wimbo anacopy mikato. D ni msanii mkubwa sana na ana kipaji atulie afanye ubunifu hii haijakaa poa.
Kwakweli wanaoshindwa kuliona hilo ni mazwazwa
 
Huyu jamaa anakosolewa sana kwa sababu anafanya kazi na Diamond na hater lakini directors wengi wanatumia idea za watu. Video ya mpaka kesho ya harmonize wamekopi idea ya mdogo mdogo ya Diamond, kushoto kulia wamekopi ya baba lao ulisikia wapi inaongelewa??? kuna thread yoyote imefunguliwa humu kukosoa??? Video ya wezele ya mavoko kakopi on the low ya burnaboy kama ilivyo, nani alikosoa??? Alikiba mwenyewe anakopi sema Diamond ni mti wenye matunda.
Hii hoja ya kukopi inatumiwa na haters wa Diamond lakini sio kwamba director wengine hawatumii idea za watu na hilo wala sio kosa as long as umefuata taratibu hasa katika dunia ya sasa ambayo vitu vingi ni marudio.

Kwa hiyo bosi katika uelewa wako wa mziki unaona copy cat iendelee tu!! Na unaona Directors walofanikiwa huko mbele wali copy cat hawaku create...!!
yaani unaona copy cat ni ordinary si exception !!

American superstar’s mature response after Diamond Platnumz and Zuchu copied his style in their new track ‘Litawachoma’ - Ghafla! Kenya
 
Burnaboy suala la copy sometime Ni ngumu Sana kulitafsiri na hii Ni kwa sababu ideas nyingi zimefanywa Sana na wasanii wengi,karibia nchi nzima Kuna wasanii wengi wa nchi tofauti tofauti Ukitaka kufanya scene za Beach,club,jangwani,party,viwanja vya mpira,madaraja,treni,Jeneza,magari n.k zimeshafanywa teyali na Ni ngumu Sana msanii kutengeneza video yoyote alafu kusiwe na scene yoyote ambayo hailingani na scenes za wasanii wengine.Na hii ndio ugumu unavyokuja kutafsiri copy unashindwa kujua msanii kakopi au ideas zimefanana?

Mfano mzuri wimbo wa dj khaleed ft Chris brown Kuna scene moja hiv inafanana na scene ya wimbo wa diamond make me sing na wimbo wa make me sing ulikuwa wa kwanza kutoka kwanini hatulalamiki dj khaleed kakopi kwa diamond? Lakini ingekuwa vise versa tungesema diamond kakopi.Mfano mwingine chidinma( Msanii wa Nigeria) kwenye wimbo wake wa "fallen in love" karibia scene zote Hadi kudance zinafafana na wimbo wa diamond "Nana" lakini sioni wabongo wakilalamika chidinma kamkopi mondi.
Asksr
 
Kwa hiyo bosi katika uelewa wako wa mziki unaona copy cat iendelee tu!! Na unaona Directors walofanikiwa huko mbele wali copy cat hawaku create...!!
yaani unaona copy cat ni ordinary si exception !!

American superstar’s mature response after Diamond Platnumz and Zuchu copied his style in their new track ‘Litawachoma’ - Ghafla! Kenya
Yani wewe umesoma heading umemaliza. Habari inasema huyo jamaa aliombwa na Diamond kuhusu iyo idea.
Hata hao director waliofanikiwa huko mbele wanatumia idea za watu. Mfano mzuri video ya what you came for ya Calvin haris na rihana imefanana scene na ile ya hotline bling ya drake. Zote zimechezwa ndani ya box.
God plan ya future na drake idea sawa na kijiwe nongwa ya roma mkatoliki kumbuka kijiwe nongwa ndio ilitangulia kuanza.
Director wenyewe si hawa hapa

f27d37df7014c5b1350707ac057029db.jpg
Screen-Shot-2019-07-20-at-10.48.10-PM.png
a2fabf214038884ac21ddb8b90e3b5d4.jpg
6025c2570debfec6ee545c7eecac87cc.jpg
 
Yani wewe umesoma heading umemaliza. Habari inasema huyo jamaa aliombwa na Diamond kuhusu iyo idea.
Hakuombwa kuhusu hiyo idea. Siwezi post link bila kusoma.
Anyway, kuhusu hili nyie bakini na msimamo wenu na mm nibaki na wangu. Waendelee hivyo hivyo ku kopi halafu 2yrs down the line mtakuja kusoma tena hizi post. innocent dependent
 
KWA KUNDI KUBWA LA MUSIC NCHINI, KU COPY NYIMBO/VIDEO NI AIBU.

Lakini pia ni uthibitisho wa kwamba mashabiki wengi wa jamaa ni wale “shule ndogo” hawajielewi elewi.kiasi ku copy kwao sio shida. Kuwa na kundi kubwa ni kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu/ wabunifu.

Kuna wanamusic wanaimba nyimbo za maisha,nyimbo zenye uhai ni zile nyimbo za miaka nenda rudi , na wana makundi madogo madogo ya music na wanaojitambua wachache wanashabikia hizi.
Anatumia muda mwingi kuangalia kazi za wenzake ili apatemo cha ku-Copy. Msanii wenu kaishiwa mashairi sa hizi kachificha kwe vikolabo uchwara na Zuchu

Kwanini anawatelekeza Lavalava za Queen Darleen ataki kufanya nao Kolabo. Kiki ya Mimi Mars imebuma trendng za mademu zimeshamgomea anatapatapata tu
 
Back
Top Bottom