Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Me nawakubali wasanii woteNdio mmefikia huku?[emoji1787][emoji1787] Kwan kila m2 akibaki na team yake shida iko wapi? Mpk mnapeana majina ya mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kumforce binadamu amkubali msanii fulan never... Na kila m2 anamsanii anaemkubali kikubwa kuelewana tu ukiona m2 amekomenti ki team achananaye
Mbona kuna comments zangu kibao diamond nimemtaja ?
Sema watu wanataka usiwe negative kabisa kwa msanii wao.
Sometime negative zingine zina faida kwa wasanii mwenyewe kurekebisha mistake zao