Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Me nawakubali wasanii wote
Mbona kuna comments zangu kibao diamond nimemtaja ?
Sema watu wanataka usiwe negative kabisa kwa msanii wao.
Sometime negative zingine zina faida kwa wasanii mwenyewe kurekebisha mistake zao
 
Kumbuka pia alianza kutoa povu mwenyewe na siku zote huwa na fight back
 
Hakuna jipya chini ya jua.
 
Aisee apunguze sasa haiwezekani kila wimbo anacopy mikato. D ni msanii mkubwa sana na ana kipaji atulie afanye ubunifu hii haijakaa poa.
Kwakweli wanaoshindwa kuliona hilo ni mazwazwa
 

Kwa hiyo bosi katika uelewa wako wa mziki unaona copy cat iendelee tu!! Na unaona Directors walofanikiwa huko mbele wali copy cat hawaku create...!!
yaani unaona copy cat ni ordinary si exception !!

American superstar’s mature response after Diamond Platnumz and Zuchu copied his style in their new track ‘Litawachoma’ - Ghafla! Kenya
 
Burnaboy suala la copy sometime Ni ngumu Sana kulitafsiri na hii Ni kwa sababu ideas nyingi zimefanywa Sana na wasanii wengi,karibia nchi nzima Kuna wasanii wengi wa nchi tofauti tofauti Ukitaka kufanya scene za Beach,club,jangwani,party,viwanja vya mpira,madaraja,treni,Jeneza,magari n.k zimeshafanywa teyali na Ni ngumu Sana msanii kutengeneza video yoyote alafu kusiwe na scene yoyote ambayo hailingani na scenes za wasanii wengine.Na hii ndio ugumu unavyokuja kutafsiri copy unashindwa kujua msanii kakopi au ideas zimefanana?


Mfano mzuri wimbo wa dj khaleed ft Chris brown Kuna scene moja hiv inafanana na scene ya wimbo wa diamond make me sing na wimbo wa make me sing ulikuwa wa kwanza kutoka kwanini hatulalamiki dj khaleed kakopi kwa diamond? Lakini ingekuwa vise versa tungesema diamond kakopi.Mfano mwingine chidinma( Msanii wa Nigeria) kwenye wimbo wake wa "fallen in love" karibia scene zote Hadi kudance zinafafana na wimbo wa diamond "Nana" lakini sioni wabongo wakilalamika chidinma kamkopi mondi.
Asksr
 
Yani wewe umesoma heading umemaliza. Habari inasema huyo jamaa aliombwa na Diamond kuhusu iyo idea.
Hata hao director waliofanikiwa huko mbele wanatumia idea za watu. Mfano mzuri video ya what you came for ya Calvin haris na rihana imefanana scene na ile ya hotline bling ya drake. Zote zimechezwa ndani ya box.
God plan ya future na drake idea sawa na kijiwe nongwa ya roma mkatoliki kumbuka kijiwe nongwa ndio ilitangulia kuanza.
Director wenyewe si hawa hapa

 
Yani wewe umesoma heading umemaliza. Habari inasema huyo jamaa aliombwa na Diamond kuhusu iyo idea.
Hakuombwa kuhusu hiyo idea. Siwezi post link bila kusoma.
Anyway, kuhusu hili nyie bakini na msimamo wenu na mm nibaki na wangu. Waendelee hivyo hivyo ku kopi halafu 2yrs down the line mtakuja kusoma tena hizi post. innocent dependent
 
KWA KUNDI KUBWA LA MUSIC NCHINI, KU COPY NYIMBO/VIDEO NI AIBU.

Lakini pia ni uthibitisho wa kwamba mashabiki wengi wa jamaa ni wale “shule ndogo” hawajielewi elewi.kiasi ku copy kwao sio shida. Kuwa na kundi kubwa ni kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu/ wabunifu.

Kuna wanamusic wanaimba nyimbo za maisha,nyimbo zenye uhai ni zile nyimbo za miaka nenda rudi , na wana makundi madogo madogo ya music na wanaojitambua wachache wanashabikia hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…