Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Mshaurini Diamond Platnumz awe mbunifu aache ku-copy

Ninachokukubali ww WCB unawafuatilia sana ni ngumu sana WCB wakifanya kitu wewe husipost ila sio mbaya umeongeza views.

Ila kuna mtu kakopi kutoka kwa Beyonce naona umekaa kimya,plus zile taa alizozipanga ktk triangle nazo kakopi ila kwa kuwa UNAMPENDA WW UNAONA SAWA.Mwenyewe anajiita GOAT........[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mbuzi wake kamvalisha Crown ya U-King.
Beyonce alimuomba king Ambust pande hizi Africa, Ulikua na mda gani haujamuo gelea Beyonce Wewe
 
Hichi kijamaa kimecopy umbea kwenye page uchwara uko insta kimekuja Ku paste hapa.

Tufanyeni kukapuuza haka
 
Beyonce alimuomba king Ambust pande hizi Africa, Ulikua na mda gani haujamuo gelea Beyonce Wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani sawa na Bill gates amuombe msaada Fred Vunja Bei..........ahaaaaaaaaaaa Spartacus Mnyama Mkali.
 
Unateseka kijana wa kibamia, sisi yetu macho maana siyo kwa makombora yanayofumuliwa kutoka wcb
 
Hawa WCB hawajui wanamrudisha nyuma director wao na yeye sijui anafikiria nini. Hizo nyimbo zao zita trend ila hakuna hata video moja itakayokuwa nominated kwa tuzo yoyote!!
Director atakuwa na video za views nyingi wakati hana award nomination yoyote. Halafu wataanza kulalamila mbona director wetu hawi nominated? Waanze kutafuta mchawi. Kifupi wawe wabunifu na ukiiga badili kidogo basi si copy cat!!
 
Bila ad's trend kwa domo ni ndoto
mkuu biashara inahitaji akili ndefu ndo maana watu wanakubali kupoteza pesa ajili ya matangazo ili watanue wigo, kiba yeye anafanya biashara ya mziki locally hadi anasababisha mashabiki zake wawe na pressure kwa team pinzani wakidhani kuweka ad's ni uchawi kumbe ni kutanua wigo
 
Kuweka ad's sio uchawi,uchawi ni unaweka ad's kwenye nyimbo aina ya copy and paste ni kujiharibia soko tu. Wcb wangekua na muziki mzuri wangetamba sana africa 1 trending ila sasa ad's zao ni zile kujaza views kuwaziba akina ibra

Na unaweka ad's kwa manufaa yako na sio kushindana na wengine kiasi kwamba mtu akitoa wimbo basi linatumwa kundi kumsakama eti anataka kuiba number 1 trending.

Kiba ana aina yake ya muziki ni kama anataka kuwa karibu na dini yake ila njaa na umaarufu vinamvuta hivyo anashindwa kujipambanua kwenye muziki wa biashara au hobby tu,dharau na majivuno vinamvuta pia
mkuu biashara inahitaji akili ndefu ndo maana watu wanakubali kupoteza pesa ajili ya matangazo ili watanue wigo, kiba yeye anafanya biashara ya mziki locally hadi anasababisha mashabiki zake wawe na pressure kwa team pinzani wakidhani kuweka ad's ni uchawi kumbe ni kutanua wigo
 
jamaa kusema ukweli anazingua,kila anachokuja nacho siku hizi lazma kakopi...aidha anafanya makusudi ili aongelewe au ni ufal.a...what a crap.😈
 
Hawa WCB hawajui wanamrudisha nyuma director wao na yeye sijui anafikiria nini. Hizo nyimbo zao zita trend ila hakuna hata video moja itakayokuwa nominated kwa tuzo yoyote!!
Director atakuwa na video za views nyingi wakati hana award nomination yoyote. Halafu wataanza kulalamila mbona director wetu hawi nominated? Waanze kutafuta mchawi. Kifupi wawe wabunifu na ukiiga badili kidogo basi si copy cat!!
Inama, tetema,yope, jeje, zote hizo zimekuwa nominated afrimma kwa nyakati tofauti na Kenny kawa nominated afrimma best director mara tatu including mwaka huu na ameshinda mara moja.
 
Back
Top Bottom